SW.HARUNYAHYA.COMhttp://sw.harunyahya.comsw.harunyahya.com - Hamasa ya Quran na ufikiriaji wa kina - Iliyowekwa hivi pundeswCopyright (C) 1994 sw.harunyahya.com 1SW.HARUNYAHYA.COMhttp://sw.harunyahya.comhttp://harunyahya.com/assets/images/hy_muhur.png11666Je, umewahi kutafakari thamani ya wakati?Je, umewahi kutafakari thamani ya wakati? Je, umewahi kufikiri sekunde, dakika, saa, siku, mwezi na mwaka vipitavyo? Wakati mwengine tunapokuwa tumetulia tunahisi kama muda nao umetulia. Tahamaki baada ya saa au siku kupita mtu anatambua kuwa wakati umekwenda haraka sana. Kila mtu hivi sasa analamika namna muda unavyokwehttp://sw.harunyahya.com/sw/Makala/202235/je-umewahi-kutafakari-thamani-yahttp://sw.harunyahya.com/sw/Makala/202235/je-umewahi-kutafakari-thamani-ya//g.fmanager.net/Image/objects/6-makaleler/news_rescue_adnan_oktar_time_engineer2.jpgMon, 27 Apr 2015 14:32:36 +0300Usije UkajutaLengo la kitabu hiki ni kuwaonya watu kwa siku ambayo watajuta wakisema” Laiti tungefahamu...,” “Laiti hatungekadhibisha aya za Mola wetu...,” “Laiti tungeliwafuata wale waliotuletea ujumbe...,” “Laiti tungelifanya hili au lile” n.k lengo pia ni kuwaita watu waishi maisha kwa ajili yahttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/46603/usije-ukajutahttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/46603/usije-ukajuta//g.fmanager.net/files/book/pictures/usije_ukajuta.jpgMon, 29 Aug 2011 00:15:41 +0300KUYAANGALIA MAMBO KWA MUSTAKBALI WAKEUtambuzi wa mu’min kuwa yumo kwenye mtihani humuongoza azingatie mambo yake kwa sura ya kuyaangalia mbeleni. Lakini “kuyaangalia mambo mbeleni” kunamaanisha nini hasa? Ijapo taabu na shida humkumba binadamu, hali hio hakika si ya kudumu milele bali ni ya muda wa kupita tu. Mtu, kwa mfano, anaweza kutuhumiwa kiuwonhttp://sw.harunyahya.com/sw/Makala/21564/kuyaangalia-mambo-kwa-mustakbali-wakehttp://sw.harunyahya.com/sw/Makala/21564/kuyaangalia-mambo-kwa-mustakbali-wakeWed, 10 Mar 2010 18:58:32 +0200Kufa Ufufuko JahannamMiongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya watu wakengeuke na kufanya washughulike tu na matashi yao ni kule kutotaka kwao kufa. Ulimwengu na wanadamu wote waishio humo, hawataishi milele. Kinachowasubiri wale wakanao ulimwengu ujao ni hatari kubwa. Hasira za moto wa milele wa Jahanamu zitakuwa dhidi yao. Kitabu hiki kikiegemea aya zahttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/9357/kufa-ufufuko-jahannamhttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/9357/kufa-ufufuko-jahannam//g.fmanager.net/files/book/pictures/kufa_ufufuko_jahannam.jpgThu, 18 Sep 2008 23:08:26 +0300Dalili Za KiyamaKatika kipindi chote cha historia ya ulimwengu, Wanaadamu wameuelewa ukubwa wa milima na upana wake, na ukubwa wa mbingu kutokana na njia zao mbali mbali za uchunguzi ijapokuwa wamekuwa na fikra potofu kuwa maumbile haya yatadumu milele. Imani hii ndio iliyozaa falsafa za kishirikina na za kilahidi za Ugiriki na dini za Sumeria zahttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8202/dalili-za-kiyamahttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8202/dalili-za-kiyama//g.fmanager.net/files/book/pictures/dalilizakiyama.jpgWed, 09 Jul 2008 21:44:30 +0300Pepo: Maskani Ya WauminiKwa kuwa ufahamu juu ya maisha ya Peponi umezungukwa na hakika za kiimani, basi ulinganishi uliofanyika kitabuni humu unawianishwa na maisha halisi ya ulimwengu huu. Katika baadhi ya sura au sehemu, yametolewa maelezo linganishi ili kumuwezesha msomaji kupima na kutafakari ili kupata uoni huru unaotokana na hakika za kimsingi zenyehttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/4594/pepo-maskani-ya-wauminihttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/4594/pepo-maskani-ya-waumini//g.fmanager.net/files/book/pictures/pepo.jpgThu, 09 Aug 2007 15:17:04 +0300