SW.HARUNYAHYA.COMhttp://sw.harunyahya.comsw.harunyahya.com - Iliyowekwa hivi pundeswCopyright (C) 1994 sw.harunyahya.com 1SW.HARUNYAHYA.COMhttp://sw.harunyahya.comhttp://harunyahya.com/assets/images/hy_muhur.png11666Sayansi Inathibitisha Kutoka Mvi kwa Haraka kama Ilivyoelezwa Ndani ya Qur’an'Dhiki na huzuni,' ugonjwa wa zama hizi, si maradhi yanayoishia kisaikolojia tu. Bali madhara yake hujidhihirisha katika kiwiliwili kwa njia mbalimbali. Matatizo makubwa yanayohusishwa na dhiki na huzuni ni magonjwa ya akili, madawa ya kulevya na utegemezi, kukosa usingizi, maradhi ya ngozi, maradhi ya tumbo na...http://sw.harunyahya.com/sw/Makala/202881/sayansi-inathibitisha-kutoka-mvi-kwahttp://sw.harunyahya.com/sw/Makala/202881/sayansi-inathibitisha-kutoka-mvi-kwa//g.fmanager.net/Image/objects/6-makaleler/news_rescue_adnan_oktar_rapid_whitening_of_hair2.jpgWed, 13 May 2015 18:27:15 +0300Je, umewahi kutafakari thamani ya wakati?Je, umewahi kutafakari thamani ya wakati? Je, umewahi kufikiri sekunde, dakika, saa, siku, mwezi na mwaka vipitavyo? Wakati mwengine tunapokuwa tumetulia tunahisi kama muda nao umetulia. Tahamaki baada ya saa au siku kupita mtu anatambua kuwa wakati umekwenda haraka sana. Kila mtu hivi sasa analamika namna muda unavyokwe...http://sw.harunyahya.com/sw/Makala/202235/je-umewahi-kutafakari-thamani-yahttp://sw.harunyahya.com/sw/Makala/202235/je-umewahi-kutafakari-thamani-ya//g.fmanager.net/Image/objects/6-makaleler/news_rescue_adnan_oktar_time_engineer2.jpgMon, 27 Apr 2015 14:32:36 +0300Usije UkajutaLengo la kitabu hiki ni kuwaonya watu kwa siku ambayo watajuta wakisema” Laiti tungefahamu...,” “Laiti hatungekadhibisha aya za Mola wetu...,” “Laiti tungeliwafuata wale waliotuletea ujumbe...,” “Laiti tungelifanya hili au lile” n.k lengo pia ni kuwaita...http://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/46603/usije-ukajutahttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/46603/usije-ukajuta//g.fmanager.net/files/book/pictures/usije_ukajuta.jpgMon, 29 Aug 2011 00:15:41 +0300KUYAANGALIA MAMBO KWA MUSTAKBALI WAKEUtambuzi wa mu’min kuwa yumo kwenye mtihani humuongoza azingatie mambo yake kwa sura ya kuyaangalia mbeleni. Lakini “kuyaangalia mambo mbeleni” kunamaanisha nini hasa? Ijapo taabu na shida humkumba binadamu, hali hio hakika si ya kudumu milele bali ni ya muda wa kupita tu. Mtu, kwa mfano, anaweza kutuh...http://sw.harunyahya.com/sw/Makala/21564/kuyaangalia-mambo-kwa-mustakbali-wakehttp://sw.harunyahya.com/sw/Makala/21564/kuyaangalia-mambo-kwa-mustakbali-wakeWed, 10 Mar 2010 18:58:32 +0200Kufa Ufufuko JahannamMiongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya watu wakengeuke na kufanya washughulike tu na matashi yao ni kule kutotaka kwao kufa. Ulimwengu na wanadamu wote waishio humo, hawataishi milele. Kinachowasubiri wale wakanao ulimwengu ujao ni hatari kubwa. Hasira za moto wa milele wa Jahanamu zitakuwa dhidi yao. Kitabu hiki kikiegemea aya za...http://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/9357/kufa-ufufuko-jahannamhttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/9357/kufa-ufufuko-jahannam//g.fmanager.net/files/book/pictures/kufa_ufufuko_jahannam.jpgThu, 18 Sep 2008 23:08:26 +0300Nani Mwenyezi Mungu?Tangu zama za zama, watu wamekuwa wakiutafakari Ulimwengu na chanzo cha uhai na wametowa mawazo yao mbali mbali juu ya suala hili. Tunaweza kuyagawa mawazo hayo katika makundi mawili. Mosi, yale yanayofafanuwa Ulimwengu kwa mtazamo wa kukanusha uumbaji na pili yale yanayoona kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Aliyeumba maada na Ulimwengu ku...http://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8204/nani-mwenyezi-munguhttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8204/nani-mwenyezi-mungu//g.fmanager.net/files/book/pictures/nanimwenyezimungu_swahili.jpgWed, 09 Jul 2008 21:50:33 +0300Ulimwengu Wa FrimasonriKwa karne kadhaa sasa kumekuwa na hofu, gumzo na minong’ono juu ya mitandao inayoendesha siasa za Ulimwengu kwa siri. Mitandao hiyo ni Freemansory na Mafyay ambayo yote iko chini ya nguvu za uzayuni wa kimataifa. Kitabu hiki kimejaribu kuielezea mitandao hiyo zaidi kikiwa kimejikita katika ule mashuhuri wenye jina la &...http://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8203/ulimwengu-wa-frimasonrihttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8203/ulimwengu-wa-frimasonri//g.fmanager.net/files/book/pictures/frimasonri.jpgWed, 09 Jul 2008 21:46:53 +0300Dalili Za KiyamaKatika kipindi chote cha historia ya ulimwengu, Wanaadamu wameuelewa ukubwa wa milima na upana wake, na ukubwa wa mbingu kutokana na njia zao mbali mbali za uchunguzi ijapokuwa wamekuwa na fikra potofu kuwa maumbile haya yatadumu milele. Imani hii ndio iliyozaa falsafa za kishirikina na za kilahidi za Ugiriki na dini za Sumeria za...http://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8202/dalili-za-kiyamahttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8202/dalili-za-kiyama//g.fmanager.net/files/book/pictures/dalilizakiyama.jpgWed, 09 Jul 2008 21:44:30 +0300Muujiza Katika Chembe Ya AtomuPamoja na wanasayansi kufanya jitihada kubwa za kitafiti kubaini ukubwa wake, mapana na umbali wake, ukubwa wa umbile la mbingu umepindukia uelewa wa Mwanaadamu licha ya kipawa kikubwa alichonacho cha akili yenye uwezo wa kutambuwa kila kitu. Mbingu hii na vilivyomo ndani yake vimetoka wapi? Vinaelekea wapi? Mwisho wake wapi? Na ji...http://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8201/muujiza-katika-chembe-ya-atomuhttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/8201/muujiza-katika-chembe-ya-atomu//g.fmanager.net/files/book/pictures/atom_swahili.jpgWed, 09 Jul 2008 21:40:31 +0300Pepo: Maskani Ya WauminiKwa kuwa ufahamu juu ya maisha ya Peponi umezungukwa na hakika za kiimani, basi ulinganishi uliofanyika kitabuni humu unawianishwa na maisha halisi ya ulimwengu huu. Katika baadhi ya sura au sehemu, yametolewa maelezo linganishi ili kumuwezesha msomaji kupima na kutafakari ili kupata uoni huru unaotokana na hakika za kimsingi zenye...http://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/4594/pepo-maskani-ya-wauminihttp://sw.harunyahya.com/sw/Vitabu/4594/pepo-maskani-ya-waumini//g.fmanager.net/files/book/pictures/pepo.jpgThu, 09 Aug 2007 15:17:04 +0300